HII ILIKUWA NI DANSI YA SIKU YA ALHAMIS TAREHE 15/3/2012
Kutoka kulia ni Solorist PETER GEORGE, Akifuatiwa na muimbaji MASONGI na mpiga rythm GEORGE WEAR. Bendi ilikuwa ikipiga kiwanja cha nyumbani SANDTON CITY MOTEL
Wapenzi wa Burudani ya muziki wakipata utamuzzzzzz wa Muziki