Thursday, April 19, 2012

SANDTON SOUND BAND IKIWAJIBIKA KAMA KAWA KATIKA KIWANJA CHAO CHA KUJIDAI.

Dada Subira akiimbwa wimbo wa Nadina aliopiga Mbilia Bel.

Christian Sheggy akisaidia kupiga gitaa la Bass.