Tuesday, May 8, 2012

KUTOKA MAKTABA: Francois Sheggy, Christian Sheggy, Kasaloo Kyanga na Saleh Kupaza.....

Kasaloo Kyanga alifariki mwaka jana 2011 kwa ugonjwa wa kujaa Maji kwenye mapafu. Hadi anafariki alikuwa anaitumikia bendi ya Sandton Sound.